Pages

Sunday, September 27, 2009

FURAHA YA KUZALIWA MTOTO=LA GIOIA PER UNA NASCITA DI UN BAMBINO.


Salamu hizi zimwendee rafiki yangu mpendwa Rogath Mgalle wa hapo Dodoma-Tanzania, kwa kupata mtoto hivi karibuni baada ya kuondoka kwangu kurudi huku Italy. Hongereni sana Rogath na Rafiki kwa kumpata Salvatore. Na karibu sana Salvatore uwe pamoja nasi hapa duniani.
(Lakini hii picha sio ya Salvatore bali nimetumia tu kwa kutuma salamu, bado sina picha ya Salavatore mwenyewe).
KIITALY.
Saluto un mio carissimo amico Rogath Mgalle di Dodoma-Tanzania, che avuto un bambino da poco quando sono appena tornato in Italia. Tanti Auguri a Rogath e Rafiki per il vostro nuovo bambino Salvatore. Benvenuto Salvatore tra di noi nel mondo, ti auguriamo ogni bene.
(Questa foto non รจ Salvatore, ho usato questa foto solo per dare un saluto, la sua foto di Salvatore ancora non ho).

-Baraka.




0 idadi ya maoni: