Pages

Wednesday, October 1, 2014

TAFRIJA FUPI YA KUMWAGA BOSS WETU NA MWANZILISHI WETU WA KITUO CHETU DADA MALAIKA. AKIELEKEA KWAO CESENA - ITALIA.

 Asante sana Dada Malaika kwa moyo wako wa upendo kwa kujali hawa watoto yatima...na karibu tena Makalala.





 Risala fupi ya kumshukuru Dada Malaika. Mwanzilishi wa Kituo chetu cha Makalala.

Akina Mama....Walezi wa Watoto hawa Yatima.

0 idadi ya maoni: