Pages

Thursday, October 2, 2014

MASHINE YA KUSAGA YA KITUO CHA WATOTO MAKALALA. MAFINGA - IRINGA.



 Malaika na watoto...tayari kwenda Mashineni kusaga.

 Wamefika Mashineni.

 Mashine ya kukoboa na kusaga nafaka, ya Kituo cha watoto Makalala.

 Filipo akisaga nafaka ya Lishe bora kwa watoto.

 Na mimi nikimsaidia Filipo kusaga.
 Tayari kurudi sasa.




 Wamefika jikoni, sasa ni muda wa kushuka kwenye gari.
 Stoo ya vyakula, ambapo unahifadhiwa unga wa lishe uliotoka kusangwa.
 Mama mpishi akipika chakula cha watoto.
Watoto wa Makalala wakila chakula.

0 idadi ya maoni: