Pages

Wednesday, February 1, 2012

CALENDARIO 2012 DI MAKALALA; FEBBRAIO.


Saturday, January 21, 2012

MAKALALA CHILDREN HOME - MAFINGA - IRINGA -TANZANIA.



Saturday, January 7, 2012

CALENDARIO 2012 DI MAKALALA; GENNAIO.


Thursday, January 5, 2012

HAPA BIASHARA NA MALEZI VYOTE VINAFANYIKA TU!

Biashara na Malezi vyote vinafanyika kwa wakati mmoja...je ni sawa?

Mfanyabiashara katika Soko kuu la Mji wa Mombo, Bi.Mwanaisha Juma...akiwa na Mwanae mchanga (Chini ya meza ya nyanya) akisubiri wateja wake Sokoni hapo, huku mtoto wake huyo akiwa amempumzisha chini ya bao lake la kuuzia bidhaa zake Sokoni hapo.

- Picha na Mashaka Mhando wa Glob ya Jamii, Tanga.

Wednesday, January 4, 2012

MTOTO WA MKULIMA KIJIJINI KWAKE KIBAONI - MPANDA!


Waziri Mkuu, Mh.Mizengo Pinda...a.k.a Mtoto wa Mkulima, akiwa na Watoto na Wajukuu zake Kijijini kwake Kibaoni - Mpanda, wakati wa mapumziko ya Krismas na Mwaka Mpya.

- Picha na Mdau Hilary Bujiku wa PMO.

Tuesday, January 3, 2012

DANCING WITH SCHOOL CHILDREN IN TANZANIA.

video

Sunday, January 1, 2012

AUGURI DI BUON ANNO A TUTTI VOI.

IL CALENDARIO 2012 DI MAKALALA INIZIA COSI!





MWAKA MPYA WA 2012...NA WATOTO YATIMA WA MAKALALA.




Nawakumbuka sana watoto wangu wapendwa wa Kituo cha Makalala Childrens Home....nawapa salamu za mwaka mpya wa 2012.

Tuesday, September 13, 2011

OBAMA FAMILY.......SAFI SANA, MNAPENDEZA!



Sunday, September 11, 2011

ECCOMI QUA! SONO TORNATO!

Thursday, July 14, 2011

MALAIKA....MWANZIRISHI WA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA MAKALALA...NA MWANAE MCHANGA JACOPO!



Mwanzirishi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Makalala, akiwa na mtoto wake Jacopo ...ambaye amejifungua hivi karibuni hapa Cesena. Malaika ambaye ameolewa na Mtanzania Rogger, na kwasasa wapo kwa muda hapa Cesena kwa kumlea mtoto wao huyu, baada ya kukua kidogo Jacopo...watarudi tena huko Makalala. Nasi tunamtakia Jacopo makuzi mema, kila laheri nyingi Mama na Baba Jacopo!
-Bado tunawahitaji sana huko Makalala!


Tuesday, July 12, 2011

MAKALALA CHILDRENS HOME - MAFINGA - IRINGA - TANZANIA!













Sunday, May 15, 2011

E NATO JACOPO...IL FIGLIO DI MALAIKA E ROGER!

E nato Jacopo! Mamma Malaika e Babbo Rogger....sono felici e stanno bene! Sono all ospedale di Lugo fino a Martedi!

Sunday, May 1, 2011

POPE JOHN PAUL II.....WITH CHILDREN.

video

Friday, April 22, 2011

TANTI AUGURI DI BUONA PASQUA A TUTTI!

Monday, April 18, 2011

CROSS-CHECKS THE NAMES OF CHILDREN REGISTERED FOR BIRTH CERTIFICATE RECOGNITION EXERCISE.

He Director of Nira Children and Youth Orphans (NICHIYOFO) Ms.Edithrose Moyo ( centre) cross-checks the names of Children registered for birth certificate recognition exercise at Mbagala Charambe in Dar es salaam over Weekend. The exercise has been sponsored by UNICEF via Temeke Social Welfare, with her ( in glasses) is Project Officer for strengthening system and structure of child protection in Temeke District, Ms.Mwamvita Kizenga. -Photo by Robert Okanda.

Friday, April 15, 2011

MAISHA YANAENDELEA KAMA KAWAIDA.....

SHINYANGA - TANZANIA.
- Picha na Mkuu Mjengwa.

Tuesday, April 12, 2011

DOMANI SERA CENA PER SOLIDARITA' PER I BIMBI DI MAKALALA.

DOMANI MERCOLEDI 13/04/2011. CENA DI SOLIDARIETA' PER I BIMBI DI MAKALALA....AL CASTELLO DI SORRIVOLI. VI ASPETTIAMO NUMEROSI.

ARUSHA - TANZANIA.


Monday, April 11, 2011

COSA VUOI CHE SIA.......LIGABUE!

video

Thursday, April 7, 2011

WAZIRI MKUU MH.PINDA...AKIFURAHI JAMBO NA WANAFUNZI.

Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda, akiwatania wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Central ya Dodoma, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma..Aprili 6, 2011. - Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

Wednesday, March 30, 2011

ALL SMILES......

A cros-section of students at Wama Nakayama Secondary School in Coast Region applaud as they listen to a speech by the President of Association of Africa Economy and Development Japan (AFRECO) Senator Tetsuro Yano (not in picture) who vised the school recently. - Photo by Mwanakombo Juma.

Monday, March 28, 2011

RAIS KIKWETE AELEZA KUKERWA NA WATOTO WA MITAANI.

Rais Dk.Jakaya Kikwete, akizungumza na viongozi na wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto, wakati wa ziara yake ya kikazi Wizarani hapo leo mchana. Katika mkutano wake ameitaka Wizara hiyo kuangalia namna ya kuondokana na tatizo la watoto wa mitaani, ambalo kimsingi linawezekana kabisa kuondolewa hasa kwa kuona baadhi yao wana wazazi wanawatuma kuomba wenyewe wakiwa pembeni. Aidha alitaka juhudi za kukomesha ukeketaji kuendelea. Naye Waziri wa Wizara hiyo Bi. Sophia Simba (unayemwona kulia mwa Rais) alimtaka Rais kusaidia Maofisa Maendeleo Jamii kuajiriwa ili kusukuma mbele maendeleo ya maeneo kama sehemu ya kuepuka ombaomba. SOURCE: Freddy Maro.

Friday, March 25, 2011

CHAGUA MWENYEWE HAPA....UNATAKA YUPI?

WATOTO WAZURI.

Monday, March 21, 2011

MAKALALA CHILDREN'S HOME - MAFINGA - IRINGA - TANZANIA.2011











Friday, March 18, 2011

IL VILLAGGIO MASAI = KIJIJI CHA WAMASAI AGOSTI 2010!

video

E I BAMBINI DELLA SCUOLA = NA WATOTO WA SHULE!

Thursday, March 17, 2011

KATUNI YA LEO!

Ingelikuwa watoto wanatengenezwa namna hii....!!!!! Sijui ingekuwaje vile???

Sunday, March 13, 2011

BUON WEEKEND - BUONA DOMENICA A TUTTI!

Friday, March 11, 2011

MAISHA YANAENDELEA TU!....HAPA NI MTO SIMIYU.

Hapa kuna kuoga humo humo, kunawa humo humo, kufua humo humo, kuoshea vyombo humo humo, kunyweshea mifugo humo humo, kujisaidia humo humo, na hata maji kwa matumizi ya nyumbani, kisha maji hayo yanatiririka kuelekea Ziwa Victoria....na hatujui kabla ya Ziwa Victoria maji haya labda yanapitia vijiji vingine tena kama kawaida ya mito mingi.....Watanzania kazi bado tunayo sana ili kujikomboa na mambo kama haya.

- Picha na Gsengo, wa Mwanza.

Thursday, March 10, 2011

SIKU TULIPO TEMBELEA SHULE YA MSINGI TEGETA - DAR.





























































































Siku tulipo tembelea shule ya msingi Tegeta, pamoja na wageni wangu kutoka Italy, Septemba 2010. Ni shule ambayo ipo nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam, barabara iendayo Bagamoyo. Shule hii pia anafundisha mama yangu mzazi, yeye pamoja na mwalimu mkuu wa shule hii, walituambia kuwa; ni shule yenye watoto wengi sana bila kuwa na madarasa yakutosha pia madawati ya kukalia. Kwakweli jambo hili huwa la kusikitisha sana, mambo muhimu kama haya ya shule huwa yanasahaulika sana, hii ni shule ambayo ipo Jijini Dar es salaam je za vijijini itakuwaje kwa hali kama hii? Mimi nakubali kuwa sisi ni maskini katika nchi yetu...lakini si umaskini huu wakukosa huduma nzuri katika mashule yetu. Ukichukulia Tegeta kuna shule mbili tu! kweli zinatushinda kuziimarisha vizuri?
Safari bado tunayo ndefu sana tena sana!!!!