Pages

Monday, February 9, 2015

WATOTO YATIMA WA MAKALALA WALIOFIKIA UMRI WA KURUDI KWENYE FAMILIA ZAO, HATIMAYE WARUDI MAKWAO.

 Pilika za kuondoka kurudi nyumbani kwa wanafamilia.
 Mama walezi kwa huzuni wakiwaaga watoto hawa wanaorudi makwao sasa.

 Watoto wakiwaaga wenzao.
 Boniphas akiwa na kaka yake....ambaye amempokea kwa shangwe kurudi kwake nyumbani, tena yeye amemfuata hapa hapa kituoni Makalala.
Dickson Kihongole, akiwa na Baba yake mzazi.....ambae amempokea kwa shangwe, kijijini kwao Itona.
 Jemedari Matonya, akiwa na Mama yake mkubwa na shangazi yake....ambao wamempokea kwa shangwe kijijini kwao Ifupira.
Bibi Kurwa, kwa furaha sana akiwapokea wajukuu zake Kurwa na Ndoto. Tito na Tony (a.k.a Mbonge), kijijini kwao Sawala.
Merry Mtweve....akipokelewa kwa shangwe na Baba yake mzazi, kijijini kwao Itona.
Onesta Ndemo.....akipokelewa kwa shangwe na Babu yake, Kijijini kwao Itona.

0 idadi ya maoni: