Pages

Friday, January 28, 2011

MFUMO WA WANAFUNZI KUJIVUSHA WENYEWE WAZINDULIWA!

Mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Oysterbay Jijini Dar es salaam, Rashid Omary akisimamisha magari ili wanafunzi wenzake wavuke katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Oysterbay. Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani, Mohamed Mpinga...amezindua mfumo huo wa wanafunzi kujivusha wenyewe.

-Picha na habari na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi.

0 idadi ya maoni: