skip to main |
skip to sidebar
Nakumbuka tulikuwa tukiusubiria kwa hamu sana, wakati upo kwenye foleni unaona hufiki tu! Uji wa shuleni sijui kwanini una mvuto sana....sio tu kwasababu ya njaa, bali una mvuto sana. Kama umepitia na wewe lazima utakumbuka tu!
0 idadi ya maoni:
Post a Comment