Pages

Thursday, May 7, 2009

KUSOMA MAGAZETI NI RAHA KWELI HATA KWA WATOTO PIA.

Kusoma magazeti ni raha sana, hasa ukikutana na habari uzipendazo huvutia sana, unaweza kusahau hata kula, kazi,... n.k. Angalia sasa hapa hawa watoto wa shule walivyo nogewa na kusoma habari iliyopo kwenye gazeti ambae imewavutia sana, wanaweza hata kujisahau kuingia darasani kwa raha tu ya habari.
Lakini ni vizuri pia kupata habari za Dunia jinsi inavyokwenda, magazeti pia husaidia sana kuelimisha jamii kwa mambo mbalimbali. Cha mhimu magazeti yawe ya maadili mema na kuelimisha kwa habari nzuri na motomoto, si yale ya kupotosha maadili ya jamii yetu.

-Baraka.



0 idadi ya maoni: