Pages

Wednesday, April 22, 2009

MAMA SHADYA KARUME KATIKA SHULE YA AWALI TUNDUNI-ZANZIBAR.

Mke wa Rais wa Zanzibar mama Shadya Karume akisalimiana na wanafunzi wa Skuli ya msingi ya Uzini, wakati alipoweka jiwe la msingi la Skuli hiyo Tunduni Wilaya ya kati kusini Unguja leo.
JIWE LA MSINGI LA SKULI YA UZINI-TUNDUNI.


Mke wa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, mama Shadya Karume akipanda mnazi baada ya kuifungua Skuli ya Uzini-Tunduni.
-BRO.ISSA MCHUZI.
Picha na Othman Maulid wa Zanzibar.


0 idadi ya maoni: