Pages

Wednesday, April 22, 2009

FURAHA YA MTOTO NI KUBEBWA NA KUPAKATWA.

Hapa nipo na Welya mtoto wa rafiki yangu Filipo, huko kijijini Manyoni, akifurahi kwa kupakatwa. Kwa watoto ni furaha sana kubebwa au kupakatwa kwa upendo hata kama sio mzazi wake. Tuwapende watoto wetu kwa kuwabeba na kuwapakata, hasa sisi wanaume tuna uvivu huu, pia kujifanya hatuna mda wa kukaa na kufurahi na watoto wetu. Malezi ya upendo wa Baba pia ni mhimu sana kwa watoto.


-Baraka.

0 idadi ya maoni: