Pages

Friday, April 17, 2009

AMEZALIWA BENJAMIN MTOTO WA MARAFIKI ZANGU SAMUELY NA SAMANTA=E' NATO BENJAMIN IL FIGLIO DEI MIEI AMICI SAMUELY E SAMANTA.







Hapa kwenye picha Nicodemo akisema: Habari mdogo wangu, njoo mdogo wangu mpendwa nikubebe katika mikono yangu, aliwaacha hoi manesi.
KIITALY:
Qui nella foto Nicodemo dice: Ciao fratterino mio, ti voglio tanto bene, ti voglio tenere nelle mie braccie.




Leo mchana amezaliwa Benjamin mtoto wa marafiki zangu Samuely na Samanta, ambaye ni mtoto wa pili sasa, wa kwanza huyo hapo kwenye picha Nicodemo mwenye miaka 3 sasa. Nilienda kutoa salamu zangu na pongezi kwa wingi Hospitalini Buffalini-Cesena, ambapo amezaliwa.
Karibu sana hapa Duniani uwe nasi pamoja Benjamin.
Samuely ni kijana kutoka Kenya (mkenya) na mkewe Samanta ni wahapa mji wa Longiano karibu na mji wa Cesena. Kila lakheri kwa Familia hii.
KIITALY:
Oggi pomeriggio è nato Benjamin il figlio dei miei amici Samuely e Samanta, il loro secondo figlio, il primo è qui nella foto Nicodemo di 3 anni. Sono andato a fare un saluto all'ospedale Buffalini di Cesena dove è nato, benvenuto fra noi Benjamin.
Samuely è un ragazzo del Kenya ( Keniotto) e sua moglie Samanta è di qui a Longiano un paese vicino a Cesena.
Tanti Auguri di cuore a voi bella famiglia.
-Baraka.




3 idadi ya maoni:

Subi Nukta said...

Yeye ni Keniotto na wewe utakuwa mTanzaniano.
Salam za heri Baraka!
Hongera kwa familia iliyopata baraka na ugeni wa mtoto.

Baraka Chibiriti said...

Asante sana Subi, nitawafikishia ujembe. Kumbe na wewe ni mpenzi wa blog hii? Karibu sana.

Baraka Chibiriti said...

Ndio mimi ni Mtanzaniano (mtanzania) halisi kabisa pyua.