Pages

Thursday, April 16, 2009

PAMOJA NA VIJANA WENYE ULEMAVU CESENA=INSIEME CON I RAGAZZI DOWN DI CESENA.




Mara nipatapo nafasi huwatembelea vijana walemavu katika kituo cha Juta-Cesena, wenye ulemavu (down) wa toka kuzaliwa. Wanahitaji kuongozwa kwa kufanya kazi ndogondogo, nami nipatapo nafasi huja hapa katika kituo hiki, kuwasaidia na kukaa nao pamoja na kufurahi. Ni vijana wazuri sana wenye upendo mwingi, wakarimu sana, ni furaha sana kukaa pamoja na hawa vijana, pia wao hujisikia vizuri sana kuwa wanapendwa na watu mara uwatembeleapo.
KIITALY:
Ogni tanto quando ho tempo libero vado a dare una mano ai ragazzi down meno fortunati di noi, però sono ragazzi eccezionali per tante cose, soprattutto di simpatia e norme che hanno verso gli altri. Mi fermo con loro a fare piccoli lavori è anche a giocare insieme a loro.
Ti danno veramente molto molto gioia nel cuore.
-BARAKA.


0 idadi ya maoni: