Pages

Sunday, March 1, 2009

SALAMU KUTOKA KWA MHIGO = UN SALUTO DA MHIGO.



Mhigo ni kijana mTanzania aishie huko Washington, us. Ni mmoja wa wapenzi wa blog hii ya Makalala children's home, anatoa salamu zake kwetu sote.
Nasi tunasema asante sana kwa salamu zako na kwa company yako, na karibu sana katika blog hii jisikie upo nyumbani.
Picha ya juu pamoja na akina mama wa kimasai Tanzania. Picha ya hapa chini na shemeji yetu mpendwa.
KIITALY:
Mhigo รจ un ragazzo Tanzaniano che vive a Washington, us. Uno dei visitatori, amatore di questo blog di Makalala children's home.
Mi ha mandato un messaggio per farmi i complimenti di questo blog. Grazie mille Mhigo per il tuo sostegno di questo blog.
La foto sopra insieme con la comunita dei masai in Tanzania. La foto qui sotto con la sua moglie.
-Baraka.

0 idadi ya maoni: