
Huwa anaenda karibu kila mwaka Tanzania kwenye kituo cha watoto walemavu kilichopo huko Mlali-Dodoma.
Alafu mara nyingi apatapo nafasi hutembelea pia kituo cha watoto yatima Makalala, kusaidia kwa mambo mbalimbali.
Hapa kwenye picha na Bonny wa Makalala, wakiwa kwenye tizi kali, kwa furaha.
KIITALY:
Ilenia una ragazza fisioterapista, di Modena-Italia.
Che guasi ogni anno va in Tanzania, in un centro di bambini disabili di Mlali-Dodoma.
Per dare una mano, poi quando ha tempo va anche a Makalala a dare una mano anche lì.
Qui nella foto con Bonny di Makalala, si divertono a fare ginnastica, con gioia.
-Baraka.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment