Hii ni ngoma ya kisukuma, iitwayo Bunungule, kutoka mkoani Mwanza-Tanzania.
Inachezwa na wawindaji wa nungunungu. Hii ni moja ya raha na burudani Tanzania.
Hapa watoto kwa vijana wakifurahi kwa kuicheza ngoma hii baada ya mawindo ya nungunungu.
Haya wasukuma kazi kwenu.
KIITALY:
Questa è la danza di kisukuma, si chiama Bunungule, viene da regione di Mwanza-Tanzania.
Di solito danzano i cacciatori di istrici. Questa danza è una dei divertimenti e gioia in Tanzania.
Qui nella foto i bambini e i ragazzi con la gioia danzano dopo che hanno catturato l'istrice.
-By Mgonzwa Manyere.
Kutoka Fotobaraza.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment