Rafiki yangu Filipo Kamoga wa pili kutoka kulia, akiwa na marafiki zake siku ya kumwaga huko kijijini Chibumagwa, tayari kuelekea Makalala Children's Home kuanza makao mapya na watoto yatima wa hapo Makalala. Baada ya kuombwa na mwanzirishi wa kituo hicho Dada Malaika, ili awe msaidizi wake katika uendeshaji wa kituo hicho cha Makalala kwa shughuli mbalimbali hasa za malezi ya watoto hao yatima. Nasi wana blog hii ya Makalala Children's Home tunakutakia kila lakheri nyingi sana katika utendaji wa kazi, katika kusaidia watoto yatima hao kwa malezi bora.
Anategemea kuwasili rasmi huko Makalala Jumamosi tarehe 07/03/2009.
KIITALY:
Un mio amico Filippo Kamoga nella foto secondo a destra, insieme con i suoi amici che ci salutano tutti. Qui il giorno dell'addio da i suoi amici del vilaggio di Chibumagwa, pronto per partire verso MakalalaChildren's Home, per un nuova vita insieme ai bambini orfani di Makalala. Dopo che la fondatrice di Makalala (Malaika) ha chiesto a Filippo come suo vice del centro, cosi si aiutano per gestire il centro.
Arriverà a Makalala sabato 07/03/2009, per l'inizio del lavoro.
Qui nel blog di Makalala Children's ti auguriamo buon lavoro. Tante belle cose con i bambini orfani di Makalala.
-Baraka.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment