


Sono convinto che la natura abbia dato a tutti qualche virtù sfruttando le naturali capacità, tutti possono migliorare e conquistare delle abilità.
KISWAHILI:
Mimi nafikiri kuwa kusaidia hawa watoto, ili baadae wawe wenye kujitegemea wenyewe, kwasasa kuwapa upendo wa hali ya juu unao stahili, ili wakue vizuri bila kukosa upendo kama mara nyingi inatokea kwa watoto walio wengi, upendo unawasaidia kukua vizuri na kubadilisha mwelekeo mzuri wa kuelekea katika maisha mazuri.
Mimi naamini ya kuwa Mungu alituumba binadamu wote na kipaji fulani, tuviendeleze hivi vipaji vya hawa watoto wanao hitaji msaada wetu, ili wote wafanikiwe kuifikia ndoto na vipaji vyao.
-Baraka F.Chibiriti.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment