Pages

Wednesday, February 18, 2009

MOJA YA SHULE ZA MSINGI MKOANI MBEYA-TANZANIA=UNA DELLE SCUOLE ELEMENTARE DELLA REGIONE DI MBEYA-TANZANIA.



Dada Astol, pamoja kwenye picha na wanafunzi ambao anawasaidia, dada Astol ni mwenyeji wa huko Mbeya, kwasasa anaishi huko Germany, pia ni mwanakijiji mwenzetu wa Fotobaraza.
Hongera sana dada Astol kwa moyo wako wa ukarimu kwa hawa watoto ambao wanahitaji sana msaada ili wapate kusoma vizuri na kutimiza ndoto zao zijazo ipasavyo.
KIITALY:
Dada Astol insieme nella foto con i studenti che lei aiuta, dada Astol รจ originaria di Mbeya, per il momento vive in Germania.
I nostri complimenti per te dada Astol per il tuo buon cuore verso questi bambini bisognosi, che possano studiare bene e raggiungere i loro sogni.

0 idadi ya maoni: