skip to main |
skip to sidebar
Nyumba ya kuweka mashine ya kusaga unga, kwaajili ya watoto.KIITALY:La casa per mettere il mulino per macinare il mais, per la farina per i bambini.
Jiko la kupikia kwaajili ya watoto.
KIITALY:
La cucina per i bambini.
Kurekebisha hii nyumba ya zamani, kuwa kama maktaba, kwaajili ya kuhifadhi vitabu na sehemu ya kujisomea watoto. Bei ya kukarabati kama walivyo andika wahusika hapo kwenye picha.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment