skip to main |
skip to sidebar
You are so beautiful, haya sasa hapo. Mtoto mzuri akifurahi.
Watoto wazuri wakipendeza, kwakweli watoto ni taifa la kesho, hatuna budi kuwatunza vyema kwa kila hali, ni furaha kwetu tukiona wakipendeza hivi. Mimi binafsi huwa nafurahi sana nikiona watoto wanapendeza hivi na wenye furaha.
-Baraka.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment