Ester mtoto yatima wa Makalala, akijipongeza kwa kunywa chai, yeye huwa anasema daima ndoto yake hapo baadae kuwa mmiliki kwa kukiendesha kituo cha Makalala Children's Home miaka ijayo, tunakutakia kila lakheri Ester.
KIITALY:
Ester bambina orfana di Makalala, che beve il thè con la gioia, lei dice sempre il suo sogno di diventare un giorno la responsabile del centro di Makalala Children's Home, noi ti auguriamo con il cuore Ester.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment