Mtoto George Bush (albino) wa kituo cha Chato, ambaye amechukuliwa na familia ya waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda, kwaajili ya kumlea maisha yake yote mpaka atakapo jitegemea. Pichani ni mke wa waziri mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na mtoto mwenyewe, kwenye moja ya ziara yake na Mheshimiwa waziri mkuu. Kwa niaba ya wadau wote tunapenda kumpa pongezi kubwa Mheshimiwa waziri mkuu kwa ukarimu wake kwa mtoto huyu, huu ni mfano mzuri sana tena sana, wakuigwa sanaa.
Il Bambino George Bush ( albino) (un nome strano) dal centro orfano di Chato, ha trovato una nuova famiglia, è stato adottato da un onorevore primo ministro della Tanzania Mizengo Pinda. Ha detto il primo ministro che sarà un figlio per lui come i suoi figli naturali per tutta la vita di questo bambino. Nella foto insieme con il bambino c'è la moglie del primo ministro Tunu Pinda. Questa è una visita del primo ministro di una regione in Tanzania insieme con loro bambino adottivo.
Io personalmente sono comosso di questa storia. Questo blog ti ringrazia tantissimo signor primo ministro Mizengo Pinda per il tuo bel esempio e per la tua generosità di questo bambino che ha bisogno di avvere una famiglia per fortuna ha trovato a te.
Hapa waziri mkuu Mizengo Pinda akiongea na watoto skauti.
Qui il primo ministro Mizengo Pinda parla con i bambini scauti.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment