Pages

Wednesday, January 28, 2009

MAKALALA CHILDREN'S HOME CON ANTONELLA DI BOLOGNA.


Watoto wa Makalala wanavyo penda na wageni wao kutoka Italy wawatembeleapo kwa kuwasaidia mambo mbalimbali hasa ya malezi na kuonyesha upendo mwingi kwao. Huyu dada Antonella kutoka Bologna, alitumia likizo yake kwa kutembelea kituoni hapo.


I bambini di Makalala come sono amati da i loro ospiti che arrivano dall'Italia quando visitanno il centro per dare un mano a tante cosa soprattutto di stare insieme con loro. Lei nella foto Antonella di Bologna, con grande affetto per i bambini di Makalala quando ha visitato il centro.



-Baraka.

0 idadi ya maoni: