Huu mwanga utuangazie vyema katika mwaka huu mpya wa 2009, uwe wa amani, mapendo, matumaini na afya tele maendeleo kwa sana. Mimi ninawatakieni kila lakheri nyingi sana tena sana wapenzi wote wa blog hii ya Makalala Children's Home, na tuzidi kudumisha upendo kwa watoto yatima na maskini kwa ujumla waasio jiweza tuwasaidie kadili tuwezavyo.
HERI YA MWAKA MPYA WA 2009.
VI AUGURO BUON ANNO 2009. TUTTI.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment