Pages

Friday, January 2, 2009

LIKIZO YANGU YA KRISTMAS HUKO MILIMANI KARIBU NA AUSTRIA.


Peter akiandaa vifaa vya kutelezea kwenye barafu.


Huku ni mlima tuu, pia inapendeza sana kuiangalia ikiwa imejaa theruji(Barafu).

Alexandra, Natasha na rafiki yao wakijiandaa kwenda kuteleza kwenye barafu. Pia nilishangaa sana kuona watoto wadogo kabisa hodari wa kuteleza kwenye barafu, kwangu mimi ni ngumu sana.



Hapo kwenye kijumba ndo pakuondokea kupanda mlima kwa umeme, ili baadae kurudi kwa kuteleza kwenye barafu katika mtelemko mkali.




Likizo yangu ya Noeli nilipo watembelea marafiki zangu wapendwa, familia ya Peter na Anna huko Bolzan-Weslberg. Tulikwenda pia kwenye kuteleza kwenye theruji milimani, likizo ilikuwa nzuri sana ila baridi sana ya kutisha. Familia ambayo waliishi Tanzania kwa mda mrefu ni kama waTanzania, nilifanya nao kazi pamoja huko Miyuji- Dodoma, nilijisikia vizuri sana kuwa nao pamoja kwa Noeli.





0 idadi ya maoni: