Pages

Saturday, December 13, 2008

KUTALII PIA NI MHIMU, UFIKAPO MAKALALA PIA KUNA KUTALII KIDOGO MKOA WA IRINGA.

Hapa wageni wa Makalala, wakitalii kidogo baada ya kazi mbalimbali za kusaidia kituo cha watoto yatima wa Makalala. Mbuga za wanyama Ruaha-Iringa.




















Hapa mimi na marafiki zangu, tulipo tembelea nguzo za ajabu huko Ismila-Iringa.






0 idadi ya maoni: