Pages

Saturday, December 13, 2008

BARABARA YA KWENDA MAKALALA=LA STRADA PER ANDARE A MAKALALA.




Mwana dada Daniela kutoka Trento-Italy, akifanya zoezi kwa kutembea wa miguu kutoka Makalala-Mafinga na kurudi.


Barabara ya kwenda Makalala Chidren's Home, kutoka Mafinga ni kama k.m 15 hadi Makalala, ni ya vumbi lakini ni nzuri tu.



0 idadi ya maoni: