Wa kwanza kushoto ni Dada Malaika mwanzilishi wa kituo hiki, akitugawia pipi. Tukifurahi pamoja na watoto yatima Makalala-Mafinga, kwa kula pipi, kwa watoto ni furaha kubwa kula pipi, hata kwa wakubwa.
Mimi na mtoto Ester nilie mubeba na Antonella, tukipata story na kusikiliza kwa makini kwa watoto hawa wazuri wa kituo cha Makalala. Asante nyingi sana kwa Malaika alie anzisha jambo zuri kama hili la kulea watoto yatima.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment