Pages

Friday, October 31, 2008

FURAHA INAENDELEA KILA SIKU MAKALALA. NA SHUKRANI PIA KWA WAFADHILI WANAO JITOLEA KWA MOYO KUSAIDIA HAWA WATOTO.

Msichana Sara kutoka Rome-Italy, akifurahi na watoto yatima wa Makalala, wakati wa rikizo yake, ambapo aliitumia kwenda kusaidia watoto hawa kwa malezi.
Msichana Ilenia kutoka Modena-Italy, nae alikuwepo kwenye kulea hawa watoto ambao hawana wazazi, kama vijana walio wengi kutoka Italy hutumia rikizo zao kujitolea kusaidia hawa watoto wasio jiweza, tunawashukuru sana kwa mioyo yao mizuri kwa hawa watoto.

0 idadi ya maoni: