Pages

Friday, September 12, 2008

WATOTO WA KWANZA WA MAKALALA AMBAO TAYARI WAMEANZA SHULE: I PRIMI BAMBINI DI MAKALALA CHE HANNO COMICIATO LA SCUOLA LA PRIMA VOLTA DA QUESTO CENTRO.

Hawa ni watoto wa kwanza wa Makalala ambao wamekuwa na kuanza shule, wakiwa na mlezi wao. Ni furaha kweli kufikia hatua hii nzuri, inapaswa kumpongeza sana Dada Malaika na walezi wote wa kituo hiki kizuri cha watoto wetu yatima. Sasa wanaenda shule ya kulipia hapo Mafinga, na wanahitaji zaidi msaada ili kuendelea kusoma zaidi na zaidi. Hili ni Taifa la kesho tukumbuke hili kila siku, tusiwasahau yatima wetu.

0 idadi ya maoni: