Pages

Thursday, September 11, 2008

WATOTO KWENYE KITUO CHA MAKALALA WAKIENDA KUTEMBEA.

Ni katika matembezi hapo kituoni Makalala, wakifurahi kwa msaada wa Dada Malaika mwanzilishi wa kituo hicho. Hata sisi tunafurahi sana tukiona wakifurahi.

0 idadi ya maoni: