HAPA SIKU NILIPO KUWA NIKIAAGWA NA MARAFIKI WA FOTOBARAZA, BAADA YA KUMALIZA LIKIZO YANGU NYUMBANI TZ. HAPA NI MAKUMBUSHO JIJINI DAR. ILIKUWA NI FURAHA SANA, ILA KWANGU ILIKUWA NI HUZUNI KIDOGO KUWAACHA, NINASEMA LAKINI TUPO PAMOJA DAIMAAA......!!!!!!!!
Kwakweli nilipata mapokezi mazuri na kuagwa vizuri sana na wana fotobaraza, ninawashukuru sana tena sanaaaa....!!!!! Kwa moyo wote ninatoa shukrani kwa woteee. Pia kwa maongezi mazuri kama yale ya kusaidia watoto yatima wetu, ni jambo zuri sana ambalo ninalipenda sana. Mimi sina cha kuwapa, ila nawakumbuka sana kila siku katika sala zangu za kila siku, ili Mwenyezi Mungu atuzidishie zaidi na zaidi kila siku mioyo ya huruma na upendo mwingi, kwa watu wote hasa wale wanao hitaji misaada yetu, kama watoto yatima na wale wa mitaani.
Salamu zangu nyingi sana na asanteni sana tena sanaaa...!!!!
Chibiriti.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment