Pages

Tuesday, September 23, 2008

LEO TUNAKUTANA CHAKULA CHA JIONI, NJE KIDOGO YA MJI WA CESENA ILI KUKAA PAMOJA KUFURAHI NAKUCHANGIA KITUO CHA WATOTO YATIMA MAKALALA-MAFINGA-TANZANIA.

Leo saa 20:00 usiku, tunakutana vijana mbalimbali nje kidogo ya mji wa Cesena ili kula pamoja chakula cha usiku na kuchangia mfuko wa watoto yatima wa Makalala huko Mafinga-Iringa-Tanzania.

0 idadi ya maoni: