Pages

Thursday, January 8, 2015

MTOTO PETRO WA KITUO CHETU CHA MAKALALA.....AMETUTOKA HAPO JANA.

Mtoto Petro, wa kituo chetu cha Makalala......baada ya kuugua kwa muda mfupi, jana jioni imekuwa bahati mbaya, katutoka. Hapa pichani siku tulipo mpokea miezi 3 iliyopita, baada ya kufariki mama yake mzazi wakati akijifungua.
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
R.I.P Petro.

0 idadi ya maoni: