Pages

Friday, October 31, 2014

KWA MUDA NIPO ITALY....KATIKA MAJUKUMU MBALIMBALI, NIKIRUDI TU MAKALALA TUPO PAMOJA TENA KATIKA PICHA MBALIMBALI NA HABARI KEMU KEMU ZA MAKALALA CHILDREN'S HOME.

Samahani wadau wa Makalala Children's Home.....kwasasa nipo Italy kwa muda wa mwezi mmoja, katika majukumu mbalimbali, pindi nirudipo tu.....nitawaleteeni tena habari za hapa na pale na picha za Makalala, kwasasa tuvumiliane kidogo.

0 idadi ya maoni: