Pages

Thursday, April 1, 2010

KAMWE SITOICHUKIA NCHI YANGU TANZANIA, LAKINI KWA HAYA NITASEMA TU!

Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mateves iliyopo Wilayani Arusha katika Mkoa wa Arusha, wakifanya mtihani wao wa majaribio wa nusu ya mwaka, wakati wengine wakiwa wameketi chini kutokana na upungufu wa madawati na madarasa.
Shule hiyo ina zaidi ya wanafunzi 910 ambapo wanatumia madawati 320 tuuu katika madarasa. Sasa hebu niambie upungufu uliopo piga picha hapo uniambie wanasomaje hawa watoto wa A-Town.

Photo by Fredy Azzah.

-Kutoka kwa JIACHIE.

1 idadi ya maoni:

Anonymous said...

JE HII NI ELIMU BORA AU BORA ELIMU NCHINI TANZANIA.WAHENGA WA KULE KWA MALKIA WALISEMA:"IKIWA ELIMU NI GHALI,JARIBU UJINGA".