
Katika kile kinachothibitisha maajabu ya Mungu, mtoto huyu wa miaka miwili ametoka salama katika ajali hiyo mbaya iliyotokea majuzi mkoani Tanga, wakati mama yake mzazi anadaiwa kufariki dunia katika ajali hiyo.
Mungu azilaze mahali pema peponi roho za marehemu hawa katika ajali hii.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment