Pages

Monday, February 15, 2010

FURAHA YA WATOTO WA MAKALALA NI YETU SOTE.

LA GIOIA DEI BAMBINI DI MAKALALA DI NOI TUTTI.


Furaha ya watoto wa Makalala ni yetu sote kwa misaada yetu, kwa wale wote wasaidiao hawa watoto yatima ni shukrani za pekee kwao, na ni furaha sana kuona hawa watoto wakifurahi na kuendelea kukua vizuri kwa kupata huduma nzuri.
HONGERA SANA KWA WAFADHILI WOTE WA MAKALALA CHILDREN'S HOME.
KIITALY:
La gioia dei bambini di Makalala e di noi tutti che aiutiamo, per tutti quelli che aiutano questi bambini orfani un grazie enorme, poi รจ una gioia di vedere questi bimbi che crescono bene con una gioia immensa, che riescono avere le cose necessarie per crescere bene.
UN GRAZIE A TUTTI VOI BENEFATTORI DI QUESTO CENTRO DI MAKALALA CHILDREN'S HOME.
-BARAKA.

0 idadi ya maoni: