Maisha haya mpaka lini...?? Huduma ya maji safi ni mhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ona sasa hapa njinsi watoto wakihangaika kupata maji... maji yenyewe hata si salama. Maisha haya mpaka lini?Tuesday, January 5, 2010
WATOTO WAKICHOTA MAJI MACHAFU.
Maisha haya mpaka lini...?? Huduma ya maji safi ni mhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ona sasa hapa njinsi watoto wakihangaika kupata maji... maji yenyewe hata si salama. Maisha haya mpaka lini?

0 idadi ya maoni:
Post a Comment