Ni picha nizipendazo sana kutokana na jinsi Dunia inavyoonekana ikiwa '' in it's full glory'' ukilinganisha na mwezi uliyo kama jangwa. Picha hizi pia zina significance kubwa kutokana na kupingwa wakati wa vita baridi ambapo sisi wanadamu tungeweza kuteketeza hii sayari yetu nzuri na sehemu pekee tuwezayo kuishi ulimwenguni. Ijapokuwa sisi binadamu tuna fikra tofauti na maugomvi kibao, hivyo tusikae tukasahau kuitunza na kuipenda hii Dunia, pia kupendana sisi kwa sisi bila maugomvi.
From a distance, there is no race...only humans
From a distance, there is no black, white, red or yellow...only people
From a distance, there is no poverty...only abundance of resources
From a distance, there is no ugliness...only beauty
From a distance, there is no first World nor third World...just an earth
0 idadi ya maoni:
Post a Comment