Mimi nimeogopa, lakini salama tuu!! Maana kivuko hiki mimi binafsi ni hatari hasa kwa watoto kuvuka hapa. Lakini cha mhimu ni uangalifu tu haswa kwa watoto. Hapa ni huko Iringa.-Picha kutoka kwa Mjengwa.
www.mjengwa.blogspot.com.
Mimi nimeogopa, lakini salama tuu!! Maana kivuko hiki mimi binafsi ni hatari hasa kwa watoto kuvuka hapa. Lakini cha mhimu ni uangalifu tu haswa kwa watoto. Hapa ni huko Iringa.
1 idadi ya maoni:
Mama na końcu!.
Post a Comment