Watoto walio wengi Tanzania huwa wapo bize sana na biashara mbalimbali, wakati mwingine hadi usiku, mimi huwa najiuliza sana wanasoma wakati gani? Na hii ni haki kwa watoto hawa?Monday, January 26, 2009
MTOTO YUPO BIZE NA BIASHARA ATASOMA WAKATI GANI?
Watoto walio wengi Tanzania huwa wapo bize sana na biashara mbalimbali, wakati mwingine hadi usiku, mimi huwa najiuliza sana wanasoma wakati gani? Na hii ni haki kwa watoto hawa?

0 idadi ya maoni:
Post a Comment