.IMAG0584.JPG)
Hapa ndo Makalala penyewe.
.Senza+titolo-6.jpg)
.Senza+titolo-4.jpg)
Mimi na kijana Francesco (Francis) kijana kutoka Italy. Tukilea watoto yatima Makalala, wakati wa rikizo mwezi wa 8 tulipo tembelea kituoni hapo kusaidia kazi mbalimbali pamoja na malezi ya watoto hawa.
.DSC_0458.jpg)
Antonella msichana kutoka Italy nae alifika kituoni hapo Makalala, kusaidia malezi ya watoto yatima katika rikizo yake, aliitumia kituoni hapo.
.DSC_0445.jpg)
Boni mtoto yatima wa Makalala, akifurahi na kunywa maziwa.
1 idadi ya maoni:
Safi sana, yaonyesha jinsi gani watu bado wana mapenzi ya kweli kwa kujali wanadamu wenzao.
Mama Malaika
Post a Comment