Baadhi ya Wanafunzi katika darasa hili huko Zanzibar wakisoma huku wamekaa chini kwenye sakafu, kutokana naupungufu wa madawati. Je watoto wetu hawa kwa hali hii wanaelewa vizuri masomo? Picha kutoka kwa Haki Ngowi. Mdau Mrocky Mrocky.Monday, October 27, 2008
ELIMU KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.
Baadhi ya Wanafunzi katika darasa hili huko Zanzibar wakisoma huku wamekaa chini kwenye sakafu, kutokana naupungufu wa madawati. Je watoto wetu hawa kwa hali hii wanaelewa vizuri masomo? Picha kutoka kwa Haki Ngowi. Mdau Mrocky Mrocky.

0 idadi ya maoni:
Post a Comment