Raffaeli kijana wa Cesena-Italy, Dokta mtarajiwa alipo enda likizo yake huko Makalala kusaidia kazi mbalimbali kituoni hapo. Hapa akifurahi na watoto yatima kwa kuingiza cowboy na bunzi la hindi, katika kufurahisha watoto.
Mr.Rogger nae yumo katika kusaidia kituo cha watoto yatima Makalala, hutoka Zanzibar huenda kujitolea, tunamshukuru sana kwa wema wake kwa hawa watoto. Hapa katika uvunaji wa mahindi katika shamba la mahindi la Makalala.317.jpg)
Vijana mbalimbali wa Italy wakijitolea katika uvunaji mahindi, hutoa mda wao wa likizo ili kusaidia kituo hiki cha Makalala, tunawashukuru sana tena sanaaa.....!!!!!!322.jpg)
Raffaeli katika kurudisha mahindi kutoka shambani hadi nyumbani, shukrani nyingi kwako Raffa tunahitaji msaada wako.
320.jpg)
219.jpg)
218.jpg)
210.jpg)
344.jpg)
224.jpg)

0 idadi ya maoni:
Post a Comment