.073.JPG)
Wasichana walezi wa watoto yatima, akina Mama kama wawaitavyo watoto wenyewe. Asanteni sana kwa kazi nzuri mnayo ifanya kulea hawa watoto yatima.
.060.JPG)
Mama Halima, kama waitavyo watoto. Ni msichana Halima mlezi mmojawapo wa watoto yatima Makalala. Asante sana kwa malezi yako mazuri kwa hawa watoto.
.080.JPG)
Watoto mapacha ambao wamepoteza mama yao mzazi baada ya kujifungua, sasa wana afya njema ni jambo la kushukuru sana, tunamshukuru dada Malaika kwa kuokoa viumbe hivi.
.049.JPG)
Mlezi wa Makalala (Mama) akitoa huduma nzuri ya maziwa kwa mtoto.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment