.155.jpg)
226.jpg)
225.jpg)
Kazi za upangaji kuni kama wanavyo onekana hapa vijana wakipanga kwenye stoo ya kuni, kwaajili ya kupikia na kuota moto, maana Makalala-Mafinga ni baridi sana hasa wakati wa asubuhi mapema na jioni hadi usiku. Ni katika kusaidia kazi mbalimbali vijana wengi hujitolea, tunawashukuru sana kwa msaada wao kwaajili ya hawa watoto yatima.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment