Pages

Tuesday, March 20, 2012

SHULE KATIKA SOKO LA SAMAKI LA MAGOGONI - DAR ES SALAAM!

Mwalimu wa Shule ya Awali ya Kivulini, Jijini Dar es salaam.........Catherine Francis, akifundisha baadhi ya Watoto wa Shule hiyo kuhusu ramani ya Tanzania, katika Soko la Kimataifa la Samaki la Magogoni - Jijini Dar es salaam. Shule hiyo iliyojengwa kwa turubai ina Watoto 15 ambao Wazazi wao wanafanya shughuli katika Soko hilo, na wamalizapo huwapitia na kurejea nao nyumbani.

- Picha na Mohamed Mambo.

0 idadi ya maoni: