Pages

Monday, March 5, 2012

DAWA ZA KUJIKINGA NA KICHOCHO!

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ngwachani iliyopo Zanzibar, Selemani Sareh....akinywa dawa ya Kichocho kuashiria uzinduzi wa kampeni ya kupambana na ugonjwa huo...Visiwani humo. Wanaoshuhudia ni Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mh.Sira Mwamboga (mwenye kilemba) na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya dawa ya Kijerumani iitwayo (Merck) Dk.Karl Ludwig Kley (kulia).

0 idadi ya maoni: