Pages

Monday, February 27, 2012

MAJUKUMU YA ULEZI KWA KARNE HII NI YA WOTE!

Majukumu ya malezi ya watoto kwa karne hii ni ya wote.......haijalishi jinsia, pichani bwana Gibson Mwalibwa, akiwa amembeba mtoto wake wa mwaka mmoja na miezi 8, wakati mama mzazi wa mtoto huyu akipata huduma ya matibabu kwenye Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.

- Hongera sana bwana Gibson, ni mfano mzuri sana kwetu sisi sote wanaume....kulea watoto wetu bila kuwa na aibu, na kusaidia wake zetu wanapohitaji msaada....kwani kulea watoto ni jukumu la wazazi wote wawili, bila kubagua jinsia.

0 idadi ya maoni: